Habari
WABUNGE WATAKA HALMASHAURI KUREJESHA MIKOPO YA WDF ILIYOLENGA KUWANUFAISHA WANAWAKE
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Ustawi wa Jamii imeishauri Serikali kuweka mfumo imara wa kuhakikisha Halmashauri zilizopata mikopo ya Mfuko wa Maendeleo wa Wanawake (WDF) zinarejesha fedha hizo ili na wengine wanufaike.... Soma zaidi
Imewekwa: Jan 19, 2024
MAFUNZO YA WARATIBU WA GEF
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Seif Shekalaghe amefunga Mafunzo ... Soma zaidi
Imewekwa: Jan 10, 2024
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU MWONGOZO WA KUSAIDIA WAHITAJI
Serikali itaendelea kushirikiana na Wadau ndani ya Jamii kuhakikisha ustawi wa makundi maalum unaimarishwa ili makundi hayo hasa watoto yanufaike zaidi.... Soma zaidi
Imewekwa: Jan 03, 2024
WAZIRI GWAJIMA AKAGUA FUKWE NA VITUO VYA MASAJI KUBAINI VICHOCHEO VYA MMOMONYOKO WA MAADIL
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewaomba viongozi wa Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa zenye fukwe nchini kuhakikisha wanafuatilia na kubaini mianya ya kuchochea mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia na kuchukua hatua haraka.... Soma zaidi
Imewekwa: Nov 01, 2023
TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA 11 WA MERCK FOUNDATION 2024.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amebainisha kwamba, Mkutano wa 11 wa Taasisi ya Merck Foundation utafanyika Tanzania kwa mwaka 2024.... Soma zaidi
Imewekwa: Oct 20, 2023
WAZIRI DKT. GWAJIMA AWAELIMISHA WANAWAKE WA OLEVOLOS KUCHANGAMKIA FURSA.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuwainua wanawake kiuchumi kwa kuweka msingi unaochochea mabadiliko yanayojielekeza kukua kiuchumi.... Soma zaidi
Imewekwa: Oct 20, 2023