Matukio

SIKU YA WAJANE DUNIANI

Mahali

MIKOA YOTE

Tarehe

2023-06-23 - 2023-06-23

Muda

ASUBUHI - JIONI

Madhumuni

Maadhimisho ya Siku ya Wajane Duniani hutoa fursa kwa Wajane na Wadau kutafakari Mipango, Mikakati, Mafanikio na Changamoto wanazokumbana nazo wajane kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika kutatua.

Event Contents

KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA WAJANE DUNIANI 2023

Siku ya Wajane Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 23 Juni. Siku hii iliasisiwa na Bw. Lord Loomba ambaye alianzisha Loomba Foundation mwaka 2005 baada ya Baba yake kufariki tarehe 23 Juni mwaka 1954. Umoja wa Mataifa ulipitisha siku hii kuwa ya Kimataifa kupitia Azimio Na. A/RES/65/189 la tarehe 21 Desemba, 2010.

Washiriki

WANANCHI WOTE

Ada ya Tukio

BURE

Simu

+255 26 2963341/42/46

Barua pepe

ps@jamii.go.tz