Matukio
Mahali |
KILA MKOA UNAADHIMISHA |
---|---|
Tarehe |
2023-06-15 - 2023-06-15 |
Muda |
8:00 ASUBUHI - 12:00 MCHANA |
Madhumuni |
Wazee ni kundi muhimu katika jamii yetu lililobeba uzoefu mkubwa, ujuzi, busara, taswira na kumbukumbu ya mambo mbalimbali. Siku hii muhimu ilitengwa na Umoja wa Mataifa kwa Azimio Namba 66/127 lililoamua kuwa na siku moja katika mwaka kwa ajili ya kupaza sauti ili kupinga vitendo vya aina zote za ukatili kwa Wazee ikiwa ni pamoja na ukatili wa kimwili, kihisia, kisaikolojia na kiuchumi. |
Event Contents |
Siku muhimu ya Kuelimisha na Kupinga Ukatili kwa Wazee yenye kauli mbiu “Wazee Wanastahili Heshima na Usikivu Wetu”. |
Washiriki |
WANANCHI WOTE |
Ada ya Tukio |
HAKUNA |
Simu |
+255 26 2963341/42/46 |
Barua pepe |
ps@jamii.go.tz |